Na Brian Nzomo Kuna suala zito sijapata kuelewa vyema katika mfumo wa maadili ambao Wanadini hufumbata. Wengi wao wameamini kuwa maadili, utu na urazini umekopolewa katika uaminifu wa miungu na vifungu vya maagizo viaminiavyo walitukabidhi ili pasiwe hekaheka yoyote au mkwaruzano baina ya binadamu. Ila kuna masuala kadha wa kadha ningependa kusaili kuhusu imani hii.Continue reading “MAADILI LUMBWI – MIHEMKO YA MAADILI YENYE NYENZO ZAKE KATIKA DINI.”