KONDOO ALIYEPATIKANA

Na Brian Nzomo Sikujua ni jambo lipi lililonipeleka kanisani Jumapili hiyo, wala sikuelewa ari hiyo ilinigubuka vipi. Miaka kumi sikupata kutia miguu yangu katika maabadi yoyote. Shughuli mzo, safari za hapa na pale na anasa za dunia zilinimeza zote nikasahau kuitenga angalau siku moja kumshukuru mungu kwa “neema zake”. Hapo mwanzoni kabla ya kupotoka kwangu,Continue reading “KONDOO ALIYEPATIKANA”

HUKU SI KWENU

Na Brian Nzomo. “Situmahi kukuona hapa hivi karibuni. Miaka kumi na mitano ni mingi sana. Hata hivyo kuna tumaini. Tumaini ya kuwa utarekebisha mkondo wa maisha yako na kuwa mwananchi mwema na mwadilifu…” alidokeza yule afisa wa magereza akimkabidhi Simiyu shanta lililosheheni nguo zake. Suruali moja mararumararu na shati la buluu lililochanika. Hizo ndizo maliContinue reading “HUKU SI KWENU”

WINGU LA UASI.

Na Brian Nzomo. Ni dhahiri kuwa nchi yetu ilikuwa imefikia upeo wa vurugu na ghasia. Kila pembe ya nchi hii ilikuwa inarindima kwa nyimbo za uasi. Waondoke, wang’atuliwe,Tuwasake, tuwaondowe,Wabinafsi na mabepariWasipate tena kustawiWala kunawiri,Wasio na tofauti na wachawi… Nchi iliyojulikana kwa utulivu wake katika bara zima tangu enzi za jadi. Nchi hiyo sasa imefurika damuContinue reading “WINGU LA UASI.”

MIAKA MITANO.

Na Brian Nzomo. Joto la kisiasa lilianza kufumka pindi tume ya uchaguzi ilipotangaza kuwa shughuli za uchaguzi zingefanyika miezi tisa baadaye. Si barazani, si misikitini, si makanisani, si mikahawani, si mitaani. Kote kulitawaliwa na mijadala ya kisiasa.Lakini mjadala uliozua zani kwa baadhi ya wakaazi wa eneo bunge la Mikalani ulikuwa kuhusu azma ya Bwana ShadrackContinue reading “MIAKA MITANO.”

UTENZI WA MWANA KUPONA NA UCHAMBUZI WAKE.

Na Brian Nzomo. Nagema wangu binti,Mchechefu basanati,Upulike wasiati,Asaa ukazingatiya… Utendi wa Mwana Kupona ni mojawapo ya mashairi yanayojulikana sana katika historia ya Kiswahili. Shari hili lilitungwa na mwanamke aliyejulikana kama Mwana Kupona binti Mshamu Nabhany aliyezaliwa katika mji wa Pate mwaka wa 1810. Historia ya maisha yake Mwana Kupona imefafanuliwa vyema na wasomi A. WernerContinue reading “UTENZI WA MWANA KUPONA NA UCHAMBUZI WAKE.”

INTRODUCTION TO THE ART OF IAMBIC PENTAMETER IN TRADITIONAL POETRY.

By Brian Nzomo. My lady, whisper low and hear my plea… ~Sparrow, Confession. This darkened raiment of the burnished sun ~Shakespeare, The Merchant of Venice. Traditional poetry has always seemed like a brain-splitting form of artistic poetry owing to the strict codes and rules guiding meter and rhythm. Many have also departed from this formsContinue reading “INTRODUCTION TO THE ART OF IAMBIC PENTAMETER IN TRADITIONAL POETRY.”

THE HUSBAND FROM HELL.

By Brian Nzomo. “In sickness and in health, for better for worse, till death do us part…” the words of that sacred vow reverberated in her mind. “If you don’t leave this house, I shall kill You,” the threats by her husband interrupted the echoing vows that resounded in her memory like an ever loopingContinue reading “THE HUSBAND FROM HELL.”

WHEN WHITE JESUS DESCENDED.

By BRIAN NZOMO The supreme council in heaven made up of the white god and twenty four elders met for a heated discussion. The main issue on the agenda was whether the time was ripe for the end of times to be announced.Then white god said, “For more than six millennia, I’ve waited for theContinue reading “WHEN WHITE JESUS DESCENDED.”

Design a site like this with WordPress.com
Get started